Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ushindi juu ya Kifo

Ushindi juu ya Kifo

7 Siku

Tunaambiwa kila mara, "Ni sehemu nyingine ya maisha tu," lakini misemo inayorudiwarudiwa haiondoi uchungu wa kupoteza mpendwa. Jifunze kumkimbilia Mungu unapokumbwa na mojawapo wa changamoto kuu zaidi maishani.

Tungependa kushukuru American Bible Society kwa ukarimu wao wa kutupa mpango huu wa masomo wa Uncover the Word. Kwa maelezo zaidi kuhusu Uncover the Word, tafadhali tembelea: www.AmericanBible.org
Kuhusu Mchapishaji

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha