Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 17:16-19

1 Samweli 17:16-19 SRUV

Kwa siku arubaini yule Mfilisti alijitokeza na kusimama mbele asubuhi na jioni. Ndipo Yese akamwambia Daudi mwanawe, Haya! Sasa wapelekee ndugu zako efa ya bisi, na mikate hii kumi, ipeleke upesi kambini kwa ndugu zako; mpelekee kamanda wa kikosi chao jibini hizi kumi, ukawaangalie, wako hali gani, kisha uniletee jawabu yao. Basi Sauli, na watu wote wa Israeli, walikuwa katika bonde la Ela, wakipigana na Wafilisti.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 17:16-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha