Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 6:1

1 Wafalme 6:1 SRUV

Ikawa katika mwaka wa mia nne na themanini baada ya wana wa Israeli kutoka nchini Misri, katika mwaka wa nne wa kutawala kwake Sulemani juu ya Israeli, katika mwezi wa Zivu, ndio mwezi wa pili, akaanza kuijenga nyumba ya BWANA.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 6:1

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha