BWANA ametamalaki, mataifa wanatetemeka; Ameketi juu ya makerubi, nchi inatikisika. BWANA katika Sayuni ni mkuu, Naye ametukuka juu ya mataifa yote. Na walishukuru jina lake kuu la kuhofiwa; Ndiye mtakatifu.
Soma Zab 99
Shirikisha
linganisha matoleo yote: Zab 99:1-3
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video