Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 65:11-13

Zab 65:11-13 SUV

Umeuvika mwaka taji ya wema wako; Mapito yako yadondoza unono. Huyadondokea malisho ya nyikani, Na vilima vyajifunga furaha. Na malisho yamevikwa kondoo, Na mabonde yamepambwa nafaka, Yanashangilia, naam, yanaimba.

Soma Zab 65

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 65:11-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha