Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 44:23-26

Zab 44:23-26 SUV

Amka, Bwana, mbona umelala? Ondoka, usitutupe kabisa. Mbona unatuficha uso wako, Na kusahau kuonewa na kudhulumiwa kwetu? Maana nafsi yetu imeinama mavumbini, Tumbo letu limegandamana na nchi. Uondoke, uwe msaada wetu, Utukomboe kwa ajili ya fadhili zako.

Soma Zab 44

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 44:23-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha