Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 38:9-10

Zab 38:9-10 SUV

Bwana, haja zangu zote ziko mbele zako, Kuugua kwangu hakukusitirika kwako. Moyo wangu unapwita-pwita, Nguvu zangu zimeniacha; Nuru ya macho yangu nayo imeniondoka.

Soma Zab 38

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 38:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha