Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:166-168

Zab 119:166-168 SUV

Ee BWANA, nimeungojea wokovu wako, Na maagizo yako nimeyatenda. Nafsi yangu imezishika shuhuda zako, Nami nazipenda mno. Nimeyashika mausia yako na shuhuda zako, Maana njia zangu zote zi mbele zako.

Soma Zab 119

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha