Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:103-105

Zab 119:103-105 SUV

Mausia yako ni matamu sana kwangu, Kupita asali kinywani mwangu. Kwa mausia yako najipatia ufahamu, Ndiyo maana naichukia kila njia ya uongo. Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.

Soma Zab 119

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha