Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 10:12-18

Zab 10:12-18 SUV

BWANA, uondoke, Ee Mungu, uuinue mkono wako, Usiwasahau wanyonge. Kwani mdhalimu kumdharau Mungu. Akisema moyoni mwake, Hutapatiliza? Umeona, maana unaangalia madhara na jeuri, Uyatwae mkononi mwako. Mtu duni hukuachia nafsi yake, Maana umekuwa msaidizi wa yatima. Uuvunje mkono wake mdhalimu, Na mbaya, uipatilize dhuluma yake, hata usiione. BWANA ndiye Mfalme milele na milele; Mataifa wamepotea kutoka nchi yake. BWANA, umeisikia tamaa ya wanyonge, Utaitengeneza mioyo yao, utalitega sikio lako. Ili kumhukumu yatima naye aliyeonewa, Binadamu aliye udongo asizidi kudhulumu.

Soma Zab 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 10:12-18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha