Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 9:1-5

Mit 9:1-5 SUV

Hekima umeijenga nyumba yake, Amezichonga nguzo zake saba; Amechinja nyama zake, umechanganya divai yake, Ameiandalia meza yake pia. Amewatuma wajakazi wake, analia, Mahali pa mjini palipoinuka sana, Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili, Njoo ule mkate wangu, Ukanywe divai niliyoichanganya.

Soma Mit 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 9:1-5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha