Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 6:6-8

Mit 6:6-8 SUV

Ewe mvivu, mwendee chungu, Zitafakari njia zake ukapate hekima. Kwa maana yeye hana akida, Wala msimamizi, wala mkuu, Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa jua; Hukusanya chakula chake wakati wa mavuno.

Soma Mit 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 6:6-8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha