Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Flp 3:1-2

Flp 3:1-2 SUV

Hatimaye, ndugu zangu, furahini katika Bwana. Kuwaandikieni mambo yale yale hakuniudhi mimi, bali kutawafaa ninyi. Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao.

Soma Flp 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Flp 3:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha