Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 12:25-26

Lk 12:25-26 SUV

Na yupi kwenu ambaye akijisumbua aweza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja? Basi, ikiwa hamwezi hata neno lililo dogo, kwa nini kujisumbua kwa ajili ya yale mengine?

Soma Lk 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 12:25-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha