Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Omb 3:18-24

Omb 3:18-24 SUV

Nikasema, Nguvu zangu zimepotea, Na tumaini langu kwa BWANA. Kumbuka mateso yangu, na msiba wangu, Pakanga na nyongo. Nafsi yangu ikali ikiyakumbuka hayo, Nayo imeinama ndani yangu. Najikumbusha neno hili, Kwa hiyo nina matumaini. Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu. BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye.

Soma Omb 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Omb 3:18-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha