Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 37:8-11

Ayu 37:8-11 SUV

Hapo wanyama huingia mafichoni, Na kukaa katika mapango yao. Dhoruba hutoka katika vyumba vyake; Na baridi ghalani mwake. Barafu huletwa kwa pumzi za Mungu; Na upana wa maji huganda. Naam, huyatweka mawingu mazito mzigo wa maji; Hulitandika wingu la umeme wake

Soma Ayu 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayu 37:8-11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha