Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 37:5-7

Ayu 37:5-7 SUV

Mungu hunguruma kwa kustaajabisha kwa sauti yake; Hufanya mambo makuu, ambayo hatuwezi kuelewa nayo. Kwani huiambia theluji, Anguka juu ya nchi; Na vivyo manyonyota ya mvua, Na hayo maji ya mvua yake kubwa. Huufunga mkono wa kila binadamu; Ili watu wote aliowaumba wajue.

Soma Ayu 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayu 37:5-7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha