Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 37:1-4

Ayu 37:1-4 SUV

Moyo wangu hunitetema kwayo pia, Nao hutoka mahali pake. Zisikizeni hizo kelele za sauti yake, Na uvumi utokao kinywani mwake. Yeye huituma iende chini ya mbingu zote, Na radi yake hata miisho ya nchi. Baadaye sauti hunguruma; Yeye hunguruma kwa sauti ya ukuu wake; Hazizuii hapo sauti yake isikiwapo.

Soma Ayu 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayu 37:1-4

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha