Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 36:17-19

Ayu 36:17-19 SUV

Lakini umejaa hukumu ya waovu; Hukumu na haki hukushika. Basi ujitunze, isije hasira ikakuvuta hata ukafanya mzaha; Wala usikubali ukuu wa ukombozi ukugeuze. Je! Mali yako yatatosha, hata usiwe katika taabu, Au uwezo wote wa nguvu zako?

Soma Ayu 36

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayu 36:17-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha