Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 40:3-4

Isa 40:3-4 SUV

Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye, Itengenezeni nyikani njia ya BWANA; Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu. Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa

Soma Isa 40

Verse Images for Isa 40:3-4

Isa 40:3-4 - Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye,
Itengenezeni nyikani njia ya BWANA;
Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu.
Kila bonde litainuliwa,
Na kila mlima na kilima kitashushwa;
Palipopotoka patakuwa pamenyoka,
Na palipoparuza patasawazishwaIsa 40:3-4 - Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye,
Itengenezeni nyikani njia ya BWANA;
Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu.
Kila bonde litainuliwa,
Na kila mlima na kilima kitashushwa;
Palipopotoka patakuwa pamenyoka,
Na palipoparuza patasawazishwa

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha