Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Eze 33:21

Eze 33:21 SUV

Ikawa, katika mwaka wa kumi na mbili wa kuhamishwa kwetu, mwezi wa kumi, siku ya tano ya mwezi, mtu mmoja aliyekuwa ametoroka toka Yerusalemu akanijia, akisema, Mji umepigwa.

Soma Eze 33

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Eze 33:21

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha