Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 23:3-5

Kut 23:3-5 SUV

wala usimpendelee mtu mnyonge katika neno lake. Ukimwona ng’ombe wa adui wako, au punda wake, amepotea, sharti umrudishie mwenyewe tena. Ukimwona punda wake huyo akuchukiaye hali ameanguka chini ya mzigo wake, nawe ungejizuia usimsaidie, lazima umsaidie.

Soma Kut 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 23:3-5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha