Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Dan 10:2-3

Dan 10:2-3 SUV

Katika siku zile mimi, Danieli, nalikuwa nikiomboleza muda wa majuma matatu kamili. Sikula chakula kitamu, wala nyama wala divai haikuingia kinywani mwangu, wala sikujipaka mafuta kabisa, hata majuma matatu kamili yalipotimia.

Soma Dan 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Dan 10:2-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha