Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 9:15-16

Mdo 9:15-16 SUV

Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli. Maana nitamwonyesha yalivyo mengi yatakayompasa kuteswa kwa ajili ya Jina langu.

Soma Mdo 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 9:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha