Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 27:22-23

Mdo 27:22-23 SUV

Sasa nawapeni shauri, iweni na moyo mkuu, kwa maana hapana hata nafsi mmoja miongoni mwenu atakayepotea, ila merikebu tu. Kwa maana usiku huu wa leo malaika wa Mungu yule ambaye mimi ni wake, naye ndiye nimwabuduye, alisimama karibu nami

Soma Mdo 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 27:22-23

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha