Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 23:12-13

Mdo 23:12-13 SUV

Kulipopambauka, Wayahudi wakafanya mapatano, wakajifunga kwa kiapo kwamba hawatakula wala hawatakunywa hata wamwue Paulo. Na hao walioapiana hivyo walipata zaidi ya watu arobaini.

Soma Mdo 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 23:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha