Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 2:23-24

Mdo 2:23-24 SUV

mtu huyu alipotolewa kwa shauri la Mungu lililokusudiwa, na kwa kujua kwake tangu zamani, ninyi mkamsulibisha kwa mikono ya watu wabaya, mkamwua; ambaye Mungu alimfufua, akiufungua uchungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.

Soma Mdo 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 2:23-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha