Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Tim 2:1-2

2 Tim 2:1-2 SUV

Basi wewe, mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo katika Kristo Yesu. Na mambo yale uliyoyasikia kwangu mbele ya mashahidi wengi, hayo uwakabidhi watu waaminifu watakaofaa kuwafundisha na wengine.

Soma 2 Tim 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Tim 2:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha