Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Pet 3:8-9

2 Pet 3:8-9 SUV

Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja. Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba.

Soma 2 Pet 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Pet 3:8-9

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha