Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Pet 1:5-7

2 Pet 1:5-7 SUV

Naam, na kwa sababu iyo hiyo mkijitahidi sana kwa upande wenu, katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maarifa, na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu saburi, na katika saburi yenu utauwa, na katika utauwa wenu upendano wa ndugu, na katika upendano wa ndugu, upendo.

Soma 2 Pet 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Pet 1:5-7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha