Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Fal 5:1

2 Fal 5:1 SUV

Basi Naamani, jemadari wa jeshi la mfalme wa Shamu, alikuwa mtu mkubwa mbele ya bwana wake, na mwenye kuheshimiwa, kwa sababu kwa mkono wake BWANA alikuwa amewapa Washami kushinda; tena alikuwa mtu hodari wa vita; lakini alikuwa mwenye ukoma.

Soma 2 Fal 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Fal 5:1

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha