Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Nya 27:1-2

2 Nya 27:1-2 SUV

Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka kumi na sita; na jina la mamaye aliitwa Yerusha binti Sadoki. Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, sawasawa na yote aliyoyafanya Uzia babaye; isipokuwa hakuingia hekaluni mwa BWANA. Lakini watu walikuwa wakali kufanya maovu.

Soma 2 Nya 27

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha