Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Tim 2:4-6

1 Tim 2:4-6 SUV

ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli. Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu; ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote, utakaoshuhudiwa kwa majira yake.

Soma 1 Tim 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Tim 2:4-6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha