Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Pet 1:18-19

1 Pet 1:18-19 SUV

Nanyi mfahamu kwamba mlikombolewa si kwa vitu viharibikavyo, kwa fedha au dhahabu; mpate kutoka katika mwenendo wenu usiofaa mlioupokea kwa baba zenu; bali kwa damu ya thamani, kama ya mwana-kondoo asiye na ila, asiye na waa, yaani, ya Kristo.

Soma 1 Pet 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Pet 1:18-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha