Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Fal 6:29-30

1 Fal 6:29-30 SUV

Akazinakshi kuta zote za nyumba kwa nakshi za makerubi, na mitende, na maua yaliyofunuka wazi, pande za ndani na nje. Na sakafu ya nyumba akaifunika na dhahabu ndani na nje.

Soma 1 Fal 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Fal 6:29-30

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha