Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 4:9-10

1 Yoh 4:9-10 SUV

Katika hili pendo la Mungu lilionekana kwetu, kwamba Mungu amemtuma Mwanawe pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kwa yeye. Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu.

Soma 1 Yoh 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 4:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha