Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 65:6-8

Zaburi 65:6-8 NEN

uliyeumba milima kwa uwezo wako, ukiwa umejivika nguvu, uliyenyamazisha dhoruba za bahari, ngurumo za mawimbi yake, na ghasia za mataifa. Wale wanaoishi mbali sana wanaogopa maajabu yako, kule asubuhi ipambazukiapo na kule jioni inakofifilia umeziita nyimbo za furaha.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 65:6-8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha