Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 65:11-13

Zaburi 65:11-13 NEN

Umeuvika mwaka taji ya baraka, magari yako yanafurika kwa wingi. Mbuga za majani za jangwani umezineemesha; vilima vimevikwa furaha. Penye nyanda za malisho pamejaa makundi ya wanyama, na mabonde yamepambwa kwa mavuno; vyote vinashangilia kwa furaha na kuimba.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 65:11-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha