Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 41:1-3

Zaburi 41:1-3 NEN

Heri mtu yule anayemjali mnyonge, BWANA atamwokoa wakati wa shida. BWANA atamlinda na kuyahifadhi maisha yake, atambariki katika nchi na hatamwacha katika tamaa ya adui zake. BWANA atamtegemeza awapo mgonjwa kitandani, atamwinua kutoka kitandani mwake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 41:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha