Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 29:10-11

Zaburi 29:10-11 NEN

BWANA huketi akiwa ametawazwa juu ya gharika; BWANA ametawazwa kuwa Mfalme milele. BWANA huwapa watu wake nguvu; BWANA huwabariki watu wake kwa kuwapa amani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 29:10-11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha