Zaburi 119:166-168
Zaburi 119:166-168 NEN
Ee BWANA, ninangojea wokovu wako, nami ninafuata amri zako, Ninazitii sheria zako, kwa sababu ninazipenda mno. Nimetii mausia yako na sheria zako, kwa kuwa njia zangu zote zinajulikana kwako.