Ee BWANA, huruma zako ni kuu, uyahifadhi maisha yangu sawasawa na sheria zako. Adui wanaonitesa ni wengi, lakini mimi sitaziacha sheria zako. Ninawatazama wasioamini kwa chuki, kwa kuwa hawalitii neno lako.
Soma Zaburi 119
Sikiliza Zaburi 119
Shirikisha
linganisha matoleo yote: Zaburi 119:156-158
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video