Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:110-112

Zaburi 119:110-112 NEN

Waovu wamenitegea mtego, lakini sijayakiuka maagizo yako. Sheria zako ni urithi wangu milele, naam ni furaha ya moyo wangu. Nimekusudia moyoni mwangu kuyafuata maagizo yako mpaka mwisho.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha