Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 118:15-16

Zaburi 118:15-16 NEN

Sauti za shangwe na ushindi zinavuma hemani mwa wenye haki: “Mkono wa kuume wa BWANA umetenda mambo makuu! Mkono wa kuume wa BWANA umeinuliwa juu, mkono wa kuume wa BWANA umetenda mambo makuu!”

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha