Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 7:7-8

Mathayo 7:7-8 NEN

“Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango. Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 7:7-8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha