Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 15:29-30

Mathayo 15:29-30 NEN

Yesu akaondoka na kwenda kando ya Bahari ya Galilaya. Kisha akapanda mlimani, akaketi huko. Umati mkubwa wa watu ukamjia, wakiwaleta vilema, vipofu, viwete, bubu na wengine wengi, wakawaweka miguuni pake; naye akawaponya.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 15:29-30

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha