Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 37:8-11

Ayubu 37:8-11 NEN

Wanyama hujificha; hubakia kwenye mapango yao. Dhoruba hutoka katika chumba chake, baridi hutoka katika upepo uendao kasi. Pumzi ya Mungu hutoa barafu, eneo kubwa la maji huganda. Huyasheheneza mawingu kwa maji, naye husambaza umeme wake wa radi kupitia hayo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 37:8-11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha