Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 51:9-10

Yeremia 51:9-10 NEN

“ ‘Tungemponya Babeli, lakini hawezi kuponyeka; tumwacheni, na kila mmoja wetu aende nchi yake mwenyewe, kwa kuwa hukumu yake inafika angani, inapanda juu hadi mawinguni.’ “ ‘BWANA amethibitisha haki yetu; njooni, tutangaze katika Sayuni kitu ambacho BWANA Mungu wetu amefanya.’

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha