Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 42:5-6

Yeremia 42:5-6 NEN

Kisha wakamwambia Yeremia, “BWANA na awe shahidi wa kweli na mwaminifu kati yetu kama hatutafanya sawasawa na kila kitu BWANA Mungu wako atakachokutuma utuambie. Likiwa jema au likiwa baya, tutamtii BWANA Mungu wetu, ambaye tunakutuma kwake, ili mambo yote yawe mema kwetu, kwa maana tutamtii BWANA Mungu wetu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 42:5-6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha