Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 42:21-22

Yeremia 42:21-22 NEN

Nimewaambieni leo, lakini bado ninyi hamtaki kumtii BWANA Mungu wenu katika yote aliyonituma niwaambie. Basi sasa, hakikisheni jambo hili: Mtakufa kwa upanga, njaa na tauni mahali ambapo mnataka kwenda kuishi.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 42:21-22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha